Lugha na Muziki

Ndani ya chumba hiki, utapita katika utajiri mkubwa wa mapokeo ya mdomo katika lugha mbalimbali na muziki ndani ya Afrika ya Kati.

Japokuwa lugha na muziki zina kanuni zake, lakini kuna fursa ya kufanya mabadiliko, maboresho na ubunifu. Hii fursa ya mabadiliko inatengeneza desturi ya maisha yenye mtiririko unaobadilikabadilika.

< World Kiswahili Day